Bethel Radio is a non-denominational, listener-supported Gospel Radio Network. This is the home of today's best Gospel Music. We inspire and encourage you to have a meaningful relationship with Jesus Christ.
Más
Mimbo ni mizuri sana na mahubiri yanasaidia sana sana sisi ambao tuko mbali sana na nyumbani. Ila naomba mjaribu badilisha playlist. Chezeni hata mimbo ya zamani au nyingine mpya. Nyimbo zile zile kila siku mpaka nimekariri sasa ☺️
5
the sagi28.02.2020
mungu mkubwa mbarikiwe
4
Flora Mbala21.02.2020
It is wonder full radio
4
sadikiamini /Acoustic testimony20.02.2020
I'm real blessed with your service,its huge,
5
Gabriel Sanka17.02.2020
Hallelujah. Mbarikiwe sana kwa utume huu.
5
Gilbert Ciza20.12.2019
Nawasikiliza kutoka Zambia, nazidi kubalikiwa, Mubalikiwe na MUNGU kwa kazi nzuri
5
Simeon Mvugus14.12.2019
Nawasikiliza nikiwa Hatsav, Israel, kwa kweli nabarikiwa mnoo, na mbarikiwe pia. Amina.
5
phillipson victor06.12.2019
Mungu awabariki sana. Playlist zenu zinabariki mno!
5
Laulent Aloyce06.12.2019
very good news for all
5
Joachim Temu04.12.2019
Mungu awabariki Sana kwa kazi nzuri ya uinjilishaji
4
Benson Joseph30.10.2019
Mnafanya kazi nzuri sana. Mungu na azidi kuwabariki. Playlist yenu ni ya moto sana 24/7.
5
gad nels27.10.2019
great work Jesus is Lord..tunabarikiwa
5
EMMANUEL MREMA30.09.2019
Be BLESSED INDEED for doing the TRUTH of the HOLY BIBLE
5
Bethel Radio Tanzania17.09.2019
Asante kwa kuendelea kutusikiliza!
5
Julius Nhelegani26.07.2019
Nabarikiwa sana na mpagilio wenu wa nyimbo
3
sam kcm21.06.2019
MUNGU WA MBINGUNI AWAINUE NA KUWALINDA
5
Amani Mp15.05.2019
MUNGU AWABARIKI SANA
5
Elia Babulege24.04.2019
saaafi sana nimebarikiwwa sna radio bethel fm. I`m listening from bunda mara Tanzanaia