Installieren Sie gratis auf Ihrem Smartphone die Online Radio Box-App und hören Sie Ihr Lieblingsradio online an, wo Sie immer wollen.
Installieren Sie gratis Gratisapp auf Ihrem Smartphone die Online Radio Box-App und hören Sie Ihr Lieblingsradio online an, wo Sie immer wollen.
| 04:00 |
SAUTI YA MTAA
Kipindi kinachompa fursa msikilizaji kuchagua na kusikiliza wimbo aupendao,kuwasikia watu awapendao na habari azipendazo na mashindano ya wasanii kupitia muziki.
|
| 08:00 |
UFR HABARI
Habari mpya zilizojili kitaifa na kimataifa.
|
| 08:30 |
KALI ZA KALE
Kuburudisha na kuelimisha kupitia muziki wa zamani (zilipendwa) wa hapa nyumbani na nchi jirani.
|