Akıllı telefonuna Online Radio Box uygulamasını yükle ve nerede olursan ol favori radyo istasyonlarını çevrimiçi dinle!
Akıllı telefonuna Online Radio Box uygulama uygulamasını yükle ve nerede olursan ol favori radyo istasyonlarını çevrimiçi dinle!
| 04:02 |
KONEKTI
Kipindi kinachuzungumzia mambo yanayowahusu vijana ikiwemo ujasiriamali,elimu ya maisha,mijadala juu ya masuala yanayo wasibu vijana pamoja na burudani ya muziki.
|
| 05:00 |
SAUTI YA MTAA
Kipindi kinachompa fursa msikilizaji kuchagua na kusikiliza wimbo aupendao,kuwasikia watu awapendao na habari azipendazo na mashindano ya wasanii kupitia muziki.
|
| 09:00 |
UFR HABARI
Habari mpya zilizojili kitaifa na kimataifa.
|