This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to our policies regarding the use of cookies.

Install the free Online Radio Box app for your smartphone and listen to your favorite radio stations online - wherever you are!

×
Like ? Save it to your favorites
×
Like ? Leave your review!
×
×
Stand with Ukraine. Save peace in the world!

Sauti ya Injil

Moshi, 92.2 MHz FM
Rating: 4.8 Reviews: 31
Radio Sauti ya Injili ni Mfariji na Rafiki yako wakati wote.
75 2

Sauti ya Injil reviews

 • 5
  05.09.2022
  The best Christian radio online! Be blessed
 • 5
  27.04.2022
  Kuna kipindi cha kiingereza mlikua mna kirusha nyakati flani za zamani, kila jumamosi kuanzia saa moja mpaka saa nne. Kama kuna mtu anakumbuka jina la hicho kipndi naombeni anikumbushe
 • 5
  15.03.2022
  nawasikia vizuri sana, MUNGU awabariki
 • 5
  21.01.2021
  Kutoka Mang' ola Karatu Arusha.
 • 5
  02.11.2020
  ZEPHANIA LAIZER NIKO DAR ,hakika redio sauti ya injili ni mlez wangu kiroho kwani kupitia redio hii nimemjua Yesu,barikiwa sana....... wapi Susan somi ngeyamo?
 • 5
  14.10.2020
  Nipo mbeya nasikiliza RSI nabarikiwa sana Kristi apewe sifa
 • 5
  13.10.2020
  Mpo vzr sana hongereni kwa huduma yenu
 • 5
  04.10.2020
  Nawapata vizuri #Dar es Salaam kupitia njia ya mtandao.
 • 5
  17.09.2020
  Nikiwa musoma nawapata vema, haswa vipindi vyangu, soma nasi na biblia kwa njia ya radio,
 • 5
  04.09.2020
  Nawapata vilivyo na Nina farijika kwa nyimbo nzuri za kumsifu Bwana ni mimi Moses Ndeni wa Chimala Mbarali Mbeya nawasikiliza Online

Radio contacts

Address: P.O. BOX 777, MOSHI-TANZANIA, E.A.
Phone: +(+255)-(0)27-27 53080
Site:
Email: redio@elct.org
Facebook: @www.sautiyainjili.org

Mob: (+255)-0786-300999

Time in Moshi: 07:32, 10.06.2022

Install the free Online Radio Box application for your smartphone and listen to your favorite radio stations online - wherever you are!