Akıllı telefonuna Online Radio Box uygulamasını yükle ve nerede olursan ol favori radyo istasyonlarını çevrimiçi dinle!

×
Beğen ? Favorilerine kaydet
×
Beğen ? Değerlendirmeni paylaş!
×
×

Usiku wa huba

Paz - Per
14:00
Kuelimisha jamii juu ya mahusiano ya kimapenzi dhumuni ni Jamii kuelimika juu maisha ya mahusiano ya kimapenzi na ndoa.Walengwa ni Watu wazima na vijana

Akıllı telefonuna Online Radio Box uygulama uygulamasını yükle ve nerede olursan ol favori radyo istasyonlarını çevrimiçi dinle!

Program

02:00 Kona ya vijana
Kuelimisha Vijana walengwa ni vijana wa jinsi zote
04:00 Habari kwa ufupi
Kuhabarisha habari za jamii walengwa Wasikilizaji wote.
04:15 Afya yako
Kuelimisha jamii kuhusu afya dhumuni Jamii kujifunza namna ya kutunza afya na kujiepusha na magonjwa.
Tüm program