Akıllı telefonuna Online Radio Box uygulamasını yükle ve nerede olursan ol favori radyo istasyonlarını çevrimiçi dinle!

×
Beğen ? Favorilerine kaydet
×
Beğen ? Değerlendirmeni paylaş!
×
×

Weekend Vible

Cmt
15:00
Kipindi kinachohusu burudani ya muziki,mahojiano na wanamuziki na kupambanisha wasanii wa mkoa wa Katavi katika sanaa kila siku ya jumamosi. Wasikilizaji ni Watu wa rika zote

Akıllı telefonuna Online Radio Box uygulama uygulamasını yükle ve nerede olursan ol favori radyo istasyonlarını çevrimiçi dinle!

Program

10:00 Machesha Fm Habari
Utaoji wa taarifa za habari na matukio mbalimbali yaliyojili na yatayojili maeneo tofauti kila kona ya duniani kuanzia siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
10:30 Global Round up
Kipindi kinachotoa taarifa mbalimbali za kijamii,siasa,saikolojia,mitandaoni na nyinginezo kila siku ya jumatatu mpaka ijumaa.
11:30 Sports Tune
Kipindi kinachotoa Habari za Michezo iliyojiri na itayotajili kote ulimwenguni kuanzia jumatatu mpaka ijumaa.
Tüm program