Akıllı telefonuna Online Radio Box uygulamasını yükle ve nerede olursan ol favori radyo istasyonlarını çevrimiçi dinle!

×
Beğen ? Favorilerine kaydet
×
Beğen ? Değerlendirmeni paylaş!
×
×

Watoto Lumen

Cmt
02:00
Lengo kuu la kipindi hiki ni kutoa nafasi kwa kundi la watoto na maudhui yahusuyo watoto Katika mrengo wa jamii iliyo staarabika na maadili mema.

Akıllı telefonuna Online Radio Box uygulama uygulamasını yükle ve nerede olursan ol favori radyo istasyonlarını çevrimiçi dinle!

Program

23:00 Langu kuu/ break fast ya nguvu
Jumatatu ni kijamii ,jumanne sheria, jumatano wataalamu wa serikali,alhamisi afya na ijumaa usalama
23:30 Bunge La Michezo
Kipindi hiki kinafanywa na Norbert Hongoli ( Mtoto wa Mama Happy) na Vanliko Kanyamala
01:00 Lumen Habari Na Matukio
Kipindi Hiki kinafanywa na watangazaji Mbali Mbali
Tüm program