Den här webbplatsen använder cookies. Genom att fortsätta använda denna webbplats godkänner du vår policy om användning av kakor.

Installera den kostnadsfria Online Radio Box-appen på din smartphone och lyssna på dina favoritstationer online – var du än är!

×
Gilla ? Spara den i dina favoriter
×
Gilla ? Lämna din recension!
×
×
Stå med Ukraina. Rädda freden i världen!

Jesus News Radio

Betyg: 4.9 Recensioner: 9
"Dhamira yetu kuu ni kuitangaza Injili ya Bwana wetu Yesu Kristo kwa mataifa yote, tukieneza ujumbe wa faraja, matumaini na upendo wa Mungu. Kupitia huduma za Kikristo, nyimbo za Injili, mahubiri yaliyojaa kweli ya Neno la Mungu, na maombi yenye nguvu ya kiroho, tunalenga kuinua mioyo ya watu, kuwavuta kwa Kristo, na kuwatia moyo katika safari yao ya imani. Tumejitoa kuwa sauti ya matumaini na chombo cha baraka kwa vizazi vyote."
8 0

Jesus News Radio recensioner

  • 5
    13.06.2025
    Power sana tunaenjoy sana
  • 5
    12.06.2025
    nawapa vizuri kutoka kimara dsm
  • 5
    23.05.2025
    Tunawapata JN Redio tukiwa Mjengoni CLJN Kinyerezi Madukani
  • 5
    21.05.2025
    God bless nawapata vilivyo kwa uzuri
  • 4
    20.05.2025
    Shalom shalom Jesus new redio nawapata pande za Sumbawanga
  • 5
    20.05.2025
    Shaloom Shaloom Jesus News Radio is so amazing.......we love this vision we are blessed
  • 5
    20.05.2025
    barikiwa
  • 5
    20.05.2025
    Kutoka Kimara Dar, nawapata vyema kabisa
  • 5
    20.05.2025
    Nabarikiwa kutoka Mbezi Mwisho dsm

Radiokontakter

Telefon: +0717515880
WhatsApp: +0717515880

Tid i Dar es-Salaam: 10:03, 09.10.2026

Installera gratisappen Online Radio Box applikation på din smartphone och lyssna på dina favoritstationer online – var du än är!