-
Ramadhani Norerwa
01.07.2020
Mziki unaongea
-
emmanuel erick
17.06.2020
Wa kikatiti arusha,nawapata sana ila mtuletee frequency maana hii inline tunamaliza mb
-
lupyana naftal
21.05.2020
Iringa 94.1 hatuwapati mpaka tuingie online
-
Costantine Severine
04.05.2020
Nawapata vizuri hapa Shinyanga, nawaomba muunganishe frequency pia hapa shinyanga mana bila kuingia online hatuwapati.
-
Samuel Ishmael
30.04.2020
Nawapata live kutoka 254+. Kazi safi
-
Charles Otunga
05.04.2020
Nawapata mubashara kutoka hapa Nairobi,Kenya.Upokezi mzuri tu.Mwanahabari Charles Otunga,NRB.
-
Hi E--FM Radio nakupata vizuri kutoka Hamburg.
-
my best Radio ever call me Agha media
-
All the way from chuga efm radio yao
-
Abbas kutoka Mozambique, nawapata bila chenga
-
Evance Alphonce
30.12.2019
Nipo Norway nawapata vzr kabisa Sport HQ ni baba lao
-
Bahati Wakulichombe
10.12.2019
Kutoka abudhabi tunawapata vizur sana
-
Manuely Mpuka Jr
03.12.2019
Frequency za Efm Iringa naziomba .
-
E FM 93.7 Sports HQ, mimi binafsi nafurahia umahiri wenu wa kuchambua matukio ya Michezo.
-
toka pande cha chuga nawapata kwa hewa atar atar
-
Nipo mabibo NIT Nawapata Vizuri
-
Imma Navigator
26.08.2019
Naitwa imma navigator kutoka moshi naskiliza efm online hatupoi hatuboi
-
Abdulsamad Ahmed
06.08.2019
Naitwa abdulsamad kutoka dar, ninafurahia uchambuzi wa kipindi hiki cha mwanamichezo wa Leo. Ikiwa ni tarehe 6, agost, 19. Mlimongelea mchezaji wa kriketi wa Africa kusin. Dale steyn. Kwa kweli nilifurahia mno kwa uchambuzi wa kina na kwa fasaha wa mchezaji huyo na mchezo kwa ujumla. Kazi nzuri sana. Mpo vizuri.......
-
mm ni mmalawi ila najuwa sana kiswahili napenda sana kusikiliza radio yenu sanasana kipindi cha ubaoni mpoki doki na saulosi kilima nawapenda sana mnanitowaga stress keep it on guys great magizo
-
LUTONADIO MUINGUILO
09.06.2019
FILINHO ROOTS
-
Nipo pande za lushoto nawapata vizuri sana
-
Hampatikani online efm
-
Chacha Maisori
30.04.2019
Naitwa Chacha Maisori, nasikiliza kutoka Cox's Bazar, Bangladesh. Hongera usikivu mzuri na burudani tosha.
-
youare exellent
-
white tiger RG
27.04.2019
Eti wimbo kuhusu chipsi yai uliopigwa saa 4.55pm unaitwaje???
-
ndyabulu kayugwa
06.04.2019
Uongozi na watumishi wote wa EFM nawapongeza kwa kusikika vyema huku Lilongwe kuliko hata Radio zingine zenye majina makubwa!!! BigUp sn!!!
-
sisi wabongo tumezoea kupanga kikosi ambacho tunakitaka sisi apo watu wanataka amunike aondoke tatizo ety hajawaita wakina ajibu wakina hd yan tumezoea kuwaona wakina ajibu kwenye kila mechi za taifa starz but tunasahau kuwa kikosi anapanga kocha amunike ni kocha mzuri sana aendelee kupewa nafasi na kuaminika.
-
Sylvester Hamsony
23.03.2019
Tunu hassani nawapata vzr pamoja na mwanaidi sulemani mpaka tamati.
-
Nawapata vyema zaidi E-FM93.7
-
Johansen Kimaro
18.03.2019
Kwamwene wana paluhengo
-
Kunifa kutoka New Delhi ,nawapata vzr .
-
Arusha moja hiyo fiiiiiiiido