-
justine mziwanda
09.06.2020
Arusha njiro contena nawapata murua kabisa
-
Nawapta vzri sana kutoka mbinga ruvuma
-
Wilfred Mmbaga
26.05.2020
kuna mambo yanayohitaji uvumilivu lakini sio mapenzi, tena yanauma kuliko hata maumivu ya sindano sindano, mke wa mtu ama mume wa mtu hana lebo inayomtambulisha chamsingi chunguza sana kabla hujaanzisha mahusianio mapya;
-
Marium Madaraka
20.05.2020
Clouds fm nawapata vyema kutokea rwanda nawapata vizuri power breakfast
-
Nawapata vizuri kabisa kutokea mkoa wa Lindi wilaya ya Kilwa Masoko. Mtandao umetulia
-
Kelvin Godlisten
01.05.2020
holaaah kutaka RWANDA ni kelvin nawapata fresh kabisa bila chenga online xxl mmetisha kinomanoma
-
France Nestory
29.04.2020
guda sana mazee
-
Masoud usikatae ulishawahi sema hivyo.. Kwamba hakuna Mwanamme mwenye mwanamke mmoja..
-
Ya kijanja zaid
-
Mmmh mm ndio naanza kipindi eti by TZB BOY
-
Charles Otunga
04.04.2020
Nawapata vizuri sana hapa Nairobi.Mie ni mwanahabari.Mnazungumzia jinsi waathiriwa wa virusi vya Korona wanavyonyanyapaliwa! Charles Otunga,KBC NRB.
-
Samuel Severua
03.04.2020
Nawapata kama fureeeeeeeeeee,
-
the peoples station
-
JACKSON MWAFUTE
11.02.2020
My all time favorite
-
Abubakar mfaume
10.02.2020
Nawapata nikitokea ghetto +27
-
Suleiman Mohamed
05.02.2020
I enjoy listening to Clouds FM. Keep it up
-
RUVUMA CLOUDS NI MDA SASA HAISIKIKI VIPI KUNA SHIDA GANI
-
Tumpale Luhanga
27.01.2020
Conveniently nasikiliza nikiwa kazini, night shift ndani ya Dar. Mko vizuri sana
-
Angelina Lusala
29.12.2019
Jamani clouds fm kuna nini mbona nje ya nji haipatikani hii sasa week nzima. Can anyone help??
-
Hildegarde Cyril
29.12.2019
Hello, huwasikiliza kila siku kutokea Sweden, leo hamko hewani tokea alfajiri why, redio zingine zote ziko hewani isipokuwa nyie, rekebisheni, siku hizi redio yenu haisikiki huku, rekebisheni, mbona zingine ziinasikika??
-
Nawapata vizuri sana
-
Streaming live from 254. Much love.
-
Bahati Wakulichombe
10.12.2019
Tunawapata vizur Kutoka Abudhabi
-
Niko Pune India , nawapata vizuri sana
-
Morogoro clouds FM hampatikan kabisa week ya pili hii
-
Dr Nicky Sarapion
02.12.2019
Number one super station
-
Clouds FM mkoa wa pwani haipo hewani msahada wenu plz
-
richard Ndegese
15.11.2019
Mko vizuri sana
-
Tanzania my country
01.11.2019
Good
-
Tuko pamoja. Very clear channel
-
LIstening to Kenedy The Remedy
-
Pande za Iringa Manispaa hapa tunawapata mubashara kwa size yetu kinyalunyalu nyaluland ukiji-mix tu tunakulisha mbwa hahahaa! TULIPAMWINGA CLOUDS FM! RUGE MUTAHABA JASIRI MUONGOZA NJIA THE LEGEND LIVES ON...
-
godfrey mwichaha
11.09.2019
Pamoja sana Clouds fm radio ya watu tunawapata kinoma noma hapa Kimara Mwisho Mnarani by Mwichaha jr.
-
Chotero Joseph
09.09.2019
Hi studio, hakika clouds Fm ni radio ya watu,tunawapata vzr pande za dodoma.Chotero Joseph
-
Tuko pamoja jahaaaaaziii
-
Kenya locked
-
Live and clear from Thika Kenya. Shabiki namba moja wa wekundu wa msimbazi.
-
jahaziiiiiiiiiiiiiiiii.......Naw apata vizuri tokea MNH mloganzila twende pamoja hadi mida ya saa 1
-
Alfredy Stephen Kihiyo
21.08.2019
pande a Kilindi Tanga naipata barabara cloud fm
-
Great voice heard from London UK
-
one love
-
Radio ya watu kwa ajili ya watu, CMG kitu kimoja!!!!!!!
-
Automass Garage
26.07.2019
sauti hamna!!!!!
-
sauti ime poteaya niko nairobi
-
fredrick killagane
12.07.2019
tuned from Greater Noida India. Clouds mnatishaaaaa! ,mnapasua anga
-
Mtabak kuwa juu clouds chiiiiiiiiiiiiiiis!
-
good performance
-
Theboy Classic
25.06.2019
madde umetisha sana big up yourself
-
Majina ya music hamtaji jaman marafiki zetu huku UK wanauliza song hizo.
-
Safi sana
-
Tupo pamoja 5 juu ya 5
-
clouse bana, sijui ninani kalopoka UMANYILE, kipanya UMANYILE VIP, mi huku sina mbavu. ahhhhaaaaaaaa
-
January Rowland
20.05.2019
❤️
-
I can't imagine am streaming clouds live from Japan muda huu saa moja na dakika 41 usiku daaah XXL on air maniggeer praaaaap very clear and loud Kelvin Alfayo a.k.a Kevooo
-
Lebaati Kipuyo
01.04.2019
Rekebisha hili neno Informaiton
-
Inasikika vizuri
-
Gabriel Machotta
07.03.2019
Natoa salaam nyingi za rambi rambi Kwa kupotelewa na Mutahaba.Ameacha mfano wa kuiga na kila kijana Kwa mzee ncini mwetu. Mungu amweke mahala pema peponi Amin. Cloud inasikika vizuuri sana hapa Norway Hammerfest Kaskazini kabisa ya dunia.
-
Samwel Mlimbila
01.03.2019
Poleni sana wanafamilia wote wa Clouds Media Group,Familia ya Prof.Mutahaba na watanzania wote kwa msiba huu mzito...Binadamu aliyezaliwa na mwanamke dunian siku zake si nyingi...Muongoza njia#Tutaonana badae#
-
Jackson Joachim
28.02.2019
POLENI SANA FAMILIA NZIMA YA CLOUDS MEDIA KWA MSIBA HUU MZITO. MUNGU AWE FARAJA KWENU
-
Doreen Masimba
28.02.2019
Poleni sana wanafamilia wa Clouds Media Group, Familia ya Prof. Mutahaba. Hakika ni kipindi kigumu sana sana. Ni vigumu kuamini kwani ametutendea mambo mengi mno. Hakika shujaa/mpiganaji ametutoka #Tutaonana baadae#