Wasafi FM is a 24 Hr Radio Station that broadcasts primarily in Swahili and caters to the lifestyle and entertainment aspirations of an urban Tanzania audience aged between 18 and 45 years. Wasafi FM airs music, lifestyle, celebrity, current issues, and entrepreneurial programming
Nawaelewa sana wasafi Fm. Pancho latino kutoka newala mtwara
5
Thomas Gidion14.05.2021
WASAFI MOTO MUKUBWAAA APPRECIATE
4
Benson Fenias12.05.2021
ONLINE RADIO LISTENING NAONA HAIFANYI KAZI VIZURI INAKATA KATA SANA.
5
Anthony Tesha08.05.2021
Nawapata vyema kutoka Lindi ruangwa
5
Dj B2k Zer020.04.2021
DJ B2k zer0 always from Canada 🇨🇦
4
NEXT LEVEL MUSIC14.04.2021
From American
5
Erick boers15.03.2021
Baddest DJ never die in town
5
Mwas Herbalist13.03.2021
Radio moja hatari zaidi listening from kangemi Nairobi Kenya..
5
HUSSEIN WAZIRY10.03.2021
GOOD IN MOSHI KILIMANJARO
5
Magoha Joseph26.12.2020
Please would you tell me wasafi fm frequency in iringa
1
Kulithum Yusuf20.12.2020
Kenya maeneo ya Mombasa haifanyi kazi
5
Ahmed Al Shaibany08.10.2020
Ni radio ambayo haina ubaguzi (inapiga nyimbo zote) na imetulia sana. Ila muirudishe hewani tuisikilize na sisi wa online.
5
Allen Diocles08.10.2020
I cant hear from this site
5
Amiry Shomary28.09.2020
ONGEZENI FREQUENCY MNAHITAJIKA MIKOANI ...... WELL DONE.... WCB4LIFE
5
Prosper Manasse24.09.2020
Sports Arena hatari
5
Kawawe Mkapvapvo22.09.2020
Naipenda sana hii radio na naona ni radio namba moja africa na naisikiliza kutoka visiwa vya comoros
5
Arsene Muhindo21.09.2020
I’m from DRC Congo 🇨🇩, I live in USA 🇺🇸 ( Atlanta Georgia). I love to listening👂 (Wasafi FM 📻) through google, And watching all shows of ❤️ wasafi Media ❤️on Youtube. It’s so nice, to much creativities 👌🏾.❤
5
Pierre Matty10.09.2020
je vipi habari ya usajili man u peter matty pangani tanga