Il sito web utilizza cookies. Se continui ad utilizzare questo sito web, significa che sei d’accordo con la nostra politica riguardo l’uso di questi cookie.
Installa l'applicazione mobile gratuita Online Radio Box per il tuo smartphone e ascolta le tue stazioni radio online preferite – ovunque ti trovi!
Kutoka mapogolo chunya naitwa ZYOLA mwayinga na kupata fresh sana kaka mkubwa
5
Wilfred Kilonzo13.04.2021
Your excellent
5
Chacha Maisori17.02.2021
Chacha Maisori hapa, naisikiliza Power breakfast kutoka Cox's Bazar Bangladesh. Isune ameeleza vizuri sana ndoa za Kikurya, kimsingi yuko sahihi kabisa na ameeleza kwa usahihi mkubwa. Pili niwape big up kwa kutoa fursa ya hili kuwekwa wazi kwa ufasaha wake. Wengi huwa wanajudge vibaya hizi mila hususani ndoa pasipo kuelewa mantiki ya msingi wake. Mwisho niwapongeze sana kwa kuibua hii mada. Ni waombe siku nyingine muite Isuna au Mkurya mwingine aelezee swala la watoto kwa maana ya nini kinafanyika pale mwanamke au mwanaume anapokosa uwezo wa kupata watoto. Hasa aelezee mila na taratibu za Mwanaume kuoa halafu asipate watoto zipo mila za wakurya nizanoelekeza nini kifanyike ilimeadi jina la huyu mwanaume au yule mwanamke lisipotee.