Usajiliwetu Radio ni kituo cha michezo kinacholeta taarifa za papo kwa papo, uchambuzi wa mechi, matokeo ya live, na taarifa zote muhimu kutoka ligi za ndani na za kimataifa. Tunasikika 24/7 tukikuletea burudani ya michezo, mahojiano ya kipekee, taarifa za timu, na mjadala wa wadau wa michezo. Hii ndiyo sauti ya mashabiki wa michezo!