Il sito web utilizza cookies. Se continui ad utilizzare questo sito web, significa che sei d’accordo con la nostra politica riguardo l’uso di questi cookie.
Installa l'applicazione mobile gratuita Online Radio Box per il tuo smartphone e ascolta le tue stazioni radio online preferite – ovunque ti trovi!
Upendo FM Radio is a Christian, Gospel and Evangelical Radio operated by the Eastern and Coastal Diocese of the Evangelical Lutheran Church in Tanzania. To lovingly preach the Holy Gospel of Jesus Christ to all and to teach His word to all people.
hakika upendo redio inanibariki sana na ni faraji yangu
4
Senyael Pallangyo22.05.2021
Mungu awabariki sana Upendo Fm Radio is my favourite Radio station ❤
5
Lawrence Ndosi TV06.05.2021
Mungu awabariki kwa huduma nzuri ya kutuinua Kiroho. Asante Upendo FM
5
User05.02.2021
Bwana Yesu apewe sifa
2
Donata Babili04.02.2021
Bwana Yesu asifiwe, mbona hampatikani kwa internet⁉️
5
Stani Bareke05.01.2021
Mungu hawabariki daima na daima
5
Thoby Roby15.06.2020
kutoka malimbe mwanza nawapata vyema Thobias Robert
4
Theo Valerian12.06.2020
Live on live from Nkoaranga Meru Arusha .
5
Lidey Siwale08.06.2020
Upendo FM radio hakika ni amani kwa wote mbarikiwe sana
5
Gody Michael27.04.2020
Tunawapata mubashara kutoka kilimanjaro moja by Gody michael toka same👍👍👍💖✍
1
ULRICK TUMAINI12.03.2020
Upendo Tuwekeeni Online TV kwa sisi tusikuwa na vingamuzi
4
Flora Mbala21.02.2020
4
2
Aloyce Thomson18.02.2020
how come mnakatisha live ya mwakasege tena yupo kati kati ya maombi mbona siwaelewi upendo
5
Martha Richard09.02.2020
Bwana Yesu asifiwe. Nabarikiwa sanaa
5
Lugano Mwankyoko26.01.2020
Bwana Yesu asifiwe wapendwa, huo wimbo wa acha nikuabudu ameimba nani?
5
Mary Msumari19.01.2020
Bless the name of the Lord. Mbarikiwe sana team nzima ya upendo FM,Mungu mwaminifu akafungue baraka kwenu 2020 iwe ya baraka kwenu katika kila jambo,mkaongezeke na kustawishwa katika kazi na maisha yenu. Mwendelee kufanyika baraka kwa waskilizaji na kwa huduma hii Mungu akawatumie kugusa maisha ya watu lakini zaidi akakutane na nyinyi pia. Bwana awatunze mno mno
5
Emmanuel Mushi10.01.2020
Naona ingekua jambo la baraka sana mgekua mnaweka ratiba ya vipindi kwa siku ili tuwe tunajua ni muda gani kuna kipindi gani
4
Janet Nelson09.01.2020
Shalom tunaomba semina za Mwl mwakasege ziwe zinafika mwisho hasa kipindi cha maombi ya pamoja...